The Weeknd avunja rekodi ya Bad Bunny kwenye mapato ya Ziara (Tour)

-rickmedia: Saraphina Jerry

Saraphina Jerry

58 minutes ago
rickmedia: the-weeknd-avunja-rekodi-bad-bunny-kwenye-mapato-ziara-tour-163-rickmedia

Mwanamuziki 'The Weeknd' amevunja rekodi ya Bad Bunny kwenye mapato ya ziara za muziki (Tour).

Kwani Imeripotiwa Kwamba Ziara Ya The Weeknd "After Hours til Dawn Tour" imeingiza Kiasi Cha $124.4M (takriban TSh Bilioni 320/=) mwezi Julai pekee, huku akiuza karibu tiketi 900,000.

Hii inamfanya avunje rekodi ya Bad Bunny ya $123.7M (Takriban TSh Bilioni 327.5/=) ya mapato makubwa zaidi kwa mwezi mmoja kwa msanii wa kiume (solo) kwenye Chati Za Billboard Top Tours.