Majaribio kinga ya Ebola kuanza DRC Congo na Uganda

-rickmedia: Saraphina Jerry

Saraphina Jerry

1 day ago
rickmedia: majaribio-kinga-ebola-kuanza-drc-congo-uganda-819-rickmedia

Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuanza majaribio ya kwanza ya dawa ya kuzuia Ebola (EBO PEP) nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Uganda.

Dawa hiyo iliyotengenezwa na kampuni ya Marekani inatarajiwa kuwakinga wahudumu wa afya na jamii kwa ujumla iwapo itafanikiwa.