Wanaharakati wa mazingira nchini Kenya wametoa wito kusitishwa kwa ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha bilionea Aliko Dangote, kwa madai kinaweza kuhatarisha mazingira.Mradi huo wenye thamani ya USD bilioni 15 hadi 17 na uwezo wa kusafisha mapipa 700,000 ya mafuta ghafi kwa siku
Mradi huo wenye thamani ya USD bilioni 15 hadi 17 na uwezo wa kusafisha mapipa 700,000 ya mafuta ghafi kwa siku, unahofiwa kuongeza uchafuzi wa mazingira na uzalishaji wa hewa ukaa, na hivyo kuhatarisha maisha ya watu wanaotegemea uvuvi na utalii.