Inadaiwa kuwa kuwa muda wa halftime show ya kwenye kombe la dunia, unatarajiwa kuongezwa hadi dakika 30 ikipungua sana 20 hiyo ni kutokana na idadi ya wasanii watakao tumbuiza siku hiyo kuongezeka.
Inatarajiwa kuwa wasanii watakaotumbuiza siku hiyo ni pamoja na Shakira,Burna Boy, Madonna, Justin Bieber, kundi la BTS, Coldplay Hivyo kwa dakika zilizowekwa mwanzo isingewezekana kwa wote kuperform.