TakeOff atakuwepo kwenye Album ijayo ya MIGOS

-rickmedia: Saraphina Jerry

Saraphina Jerry

2 hours ago
rickmedia: takeoff-atakuwepo-kwenye-album-ijayo-migos-696-rickmedia

Moja ya makundi ya muziki yaliwahi kufanya vizuri nchini marekani ni pamoja na Migos sasa Quavo amethibitisha kuwa kundi la migos linarudi pamoja kwaajili ya kuandaa album na ziara yao ya pamoja (tour).

Album hiyo itajumuisha sauti za marehemu Takeoff (baada ya kifo chake/posthumous vocals) zilizorekodiwa kabla ya kufariki dunia mnamo November 2022.

Quavo alithibitisha habari hii wakati wa mahojiano kwenye kituo cha redio Rediov-103 jijini atlanta akizungumza na dj gred street.