Mwanamama Zari The Boss Lady ageuka mbogo kwenye birthday Party yake baada kugundua kuwa baadhi ya wageni waalikwa kwenye party yake walivalia T-shirt na Jeans.
Zari aliamuru wageni hao kutolewa nje akidai kuwa sio hadhi yake. Kauli hiyo ya Zari imezua mijadala tofauti kwenye mitandao ya kijamii huku wapo wanaomuunga mkono na wengine wakipinga wakidai kuwa ni dharau amefanya.