Qute Mena aomboleza kifo cha MC Pilipili (Baba Mtoto Wake)

-rickmedia: Saraphina Jerry

Saraphina Jerry

1 hour ago
rickmedia: qute-mena-aomboleza-kifo-cha-pilipili-baba-mtoto-wake-694-rickmedia

Mke wa MC Pilipili anayefahamika kwa jila la Qute mena amepost picha ya mume wake akiwa na mtoto wao kwenye ukurasa wake wa Instagram, akiomboleza kifo chake kilichotokea jana jijini Dodoma.

Philomena aliwahi kuwa mke wa MC Pilipili japo ilisemekana wawili hao walikuwa wameachana tayari kabla ya umauti kumkuta MC pilipili, wawili hao hawajawahi kuweka wazi sababu zilizopelekea wao kuachana na pia hawakuwahi kuthibitisha kuwa wameachana.

MC Pilipili amefariki dunia ghafla mchana wa Novemba 16, 2025. Pumzika kwa amani MC Pilipili

W