ZUCHU Afunguka ukweli DIAMOND kutemwa na PEPSI kisa kujihusisha na Siasa

-rickmedia: Rick

Rick

21 hours ago
rickmedia: zuchu-afunguka-ukweli-diamond-kutemwa-pepsi-kisa-kujihusisha-siasa-637-rickmedia

Maneno mengi yamekuwa yakizungumzwa juu ya Diamond Platnumz kupoteza dili lake la Ubalozi wa kampuni ya vinywaji ya PEPSI kwa kile walichokiita kuwa msanii huyo amejihusisha na mambo ya siasa.

Sasa kwa mara ya kwanza mke wa mwanamuziki huyo "Zuchu" ameibuka na kujibu kuwa taarifa hizo ni za uongo si kweli kama watu wanavyosema. Zuchu amejibu Tweet ya jamaa mmoja kwenye mtandao wa X ambaye aliandika taarifa hiyo ambapo Zuchu alijibu kuwa "Habari za uongo Pepsi hawajaacha kufanya kazi na Diamond Platnumz. Bado ni balozi wao"