Mgombea wa Chama Cha National Unity Platform (NUP) cha Uganda Akimwaga Machozi baada ya Kushindwa kupata Tikite ya Chama kwenye uchaguzi mdogo wa Jimbo.
#MosesNsereko alishindwa kujiuzia baada ya kushika Nafasi ya 9 kati ya wagombea 10 kwenye kura za Mchujo za Chama ili kugombea katika Jimbo la Kawempa North.
Kitu hicho kiliachwa wazi baada ya Mgombea #Ssegirinya ambae alishinda kwa Tiketi ya Chama hicho kufariki January 9.2025.