Kanye West Amemshtumu Kim Kardashians Akidai alimtelekeza Mtoto wao kwenye Gari

-rickmedia: Lanka Ting

Lanka Ting

3 hours ago
rickmedia: kanye-west-amemshtumu-kim-kardashians-akidai-alimtelekeza-mtoto-wao-kwenye-gari-65-rickmedia

Katika tukio jipya la kushangaza, Rapa #KanyeWest ameripotiwa kuwasilisha barua ya kusitisha na kuacha (cease and desist), akimtuhumu Kim kwa kutumia watoto wao wanne #North (11), #Saint (9), #Chicago (7), na #Psalm (5) kwa manufaa yake binafsi.

#Kanye anadai kwamba K#im alimwacha #North peke yake ndani ya gari lililokuwa limeegeshwa wakati yeye alienda kutembea kwenye zulia jekundu la #MetGala, kwa mujibu wa #TMZ. Sasa anatishia kuchukua hatua za kisheria kuhusu tukio hilo linalodaiwa kutokea.