Mama mzazi wa Msanii Gigy Money 'Bi Lissa' ameweka wazi namna ambavyo anaona kuwa mwanae 'Gigy' amefuata tabia zake kwasababu hata yeye enzi zake alikuwa mtundu sana na alijihusisha na mambo mengi ya sanaa ikiwemo kudance,kushiriki mashindano ya Umiss pamoja na Modeling.
TAZAMA HAPA CHINI👇🏿