Mtoto wa Ronaldo Asema Yamal Kwa Sasa Ni Bora Kushinda Baba Yake

-rickmedia: Lanka Ting

Lanka Ting

12 hours ago
rickmedia: mtoto-ronaldo-asema-yamal-kwa-sasa-bora-kushinda-baba-yake-183-rickmedia

Mtoto wa nyota wa soka #CristianoRonaldo, #CristianoJúnior Amesema kuwa kwa sasa Mchezaji wa Barcelona, #LamineYamal Kushinda Baba yake (Cr7)

“Kwa sasa, Lamine ni bora kuliko baba yangu.Lakini bado hajashinda kitu chochote.”

Hata hivyo, mtoto huyo wa #Ronaldo amekumbusha kuwa urithi wa kweli katika soka haupimwi kwa kipaji pekee bali kwa mataji pia.

#LamineYamal, ambaye ana umri wa miaka 18, alipata msimu wa mafanikio akiwa na Barcelona na timu ya taifa ya Hispania, ikiwemo kung’ara katika michuano ya Euro 2024.