Promota wa Show Ya Zari Uk atema Cheche Afunguka Madudu ya Zari

-rickmedia: Lanka Ting

Lanka Ting

1 year ago
rickmedia: promota-show-zari-atema-cheche-afunguka-madudu-zari-822-rickmedia

Promota wa #ZariAllWhitePartyUk #Ladynaa Amefunguka mazito kumuhusu #ZariTheBossLady baada ya kushindwa kutokea kwenye show hiyo na kuzuka maneno mengi.

Kupitia ukurasa wake wa instagram #Ladynaa ameandika...

"Wewe ku... unajifanya matawi yajuu unasema wanamziki wenzio wamekaa airport for five hours mbona unajificha huongei yakwako kwamba ulitukalisha for 7 hours detantion mse... umekataliwa juzi kuingia uk nimepigana hadi ukaingia ili shpw yangu isife nimekusitiri nikakuåigania ulaingia nabado ukanifanyia upumbavu huyo mnaigeria wako Victori unaemsema ulikua umjui umekutana nae because of me hakuna mtu aliekusaidia kukutoa detention juzi it was me unaniita kapuku iyo siku mabelionear wenzako walikua wapi kukutoa . Bora uyo mwanamziki unaemsema amekaa masaa mengi haikua sababu yoyote na haikuusu ila yakwako huyasema mse... unajifanya mataei ya juu ila huna cha matawi yajuu mbwa mimi ndo msaidizi wako ku.. wewe i was not doing this as a promotor i was doing this as a friend ila kwasababu wewe unajipenda mwenyewe u have no heart and your selfish huonagi mazuri ya watu wanayokufanyia zarina hasani your not going to put me down mbwa wewe i will make you pay every pen i spent on you m... kunuka wewe."

#ZariWhiteParty ilikuwa ifanyike June 24 lakini ilishindikana kutokana na madai ya #Zari kutokulipwa pesa zake za Party iliyofanyika kabla ya Tukio husika.