Thee Weeknd aahirisha show yake ya Los Angeles sababu ya janga la moto lililotokea

-rickmedia: Saraphina Jerry

Saraphina Jerry

14 hours ago
rickmedia: thee-weeknd-aahirisha-show-yake-los-angeles-sababu-janga-moto-lililotokea-81-rickmedia

Mwanamuziki Thee Weeknd Ameamua Kusitisha Show Yake Ya “Rose Bowl” Lakini Pia Kutotoa Album Yake Mpya Ya “Hurry Up Tomorrow” Kisa Janga La Moto Unaoendelea Kuteketeza Makazi Los Angeles.

The Weeknd Ametumia Ukurasa Wake Wa Instagram Kutoa Taarifa Hiyo Akisema Kwamba Ameghairi Kufanya Tamasha Lake Lakini Pia Amesitisha Kutoa Album Yake Tarehe 25 Januari Na Sasa Itatoka Januari 31 .

Licha ya changamoto hii, The Weeknd anaendelea kuwa mmoja kati ya wanamuziki wenye ushawishi mkubwa zaidi katika kizazi hiki, huku mashabiki wakingoja kwa hamu kila hatua atakayochukua.

Mashabiki wanaombwa kuwa na subira huku taarifa zaidi kuhusu tarehe mpya ya onyesho hilo zikitarajiwa kutolewa hivi karibuni.