Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Usafiri wa Ardhini (LATRA CCC) lipo katika mchakato wa kupokea maoni ya Wadau kuhusu matumizi ya Kadi za Elekroniki katika usafiri wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka, Dar es Salaam maarufu kwa jina la Mwendokasi.
LATRA CCC imesema “Tunaomba utumie dakika chache kujaza fomu, maoni yako ni muhimu katika kuboresha huduma za usafiri ardhini”.
Kutoa maoni bofya 'link' kwenye 'bio'.