P Diddy aachia kionjo cha Filamu yake mpya "Off The Grid"

-rickmedia: Rick

Rick

1 month ago
rickmedia: diddy-aachia-kionjo-cha-filamu-yake-mpya-off-the-grid-281-rickmedia

Msanii Mkongwe wa muziki Duniani P Diddy ameachia kionjo cha Filamu yake mpya iitwayo "Off The Grid" inayotarajiwa kuachiwa hivi karibuni. Kwa mujibu wa Diddy Filamu hiyo imechochewa sana na Album yake "The Love Album"

Tazama hapa kionjo hicho