Rais wa Korea Kaskazini, #KimJongUn alirekodiwa akibubujikwa na Machozi huku akiwaomba wanawake wa Korea Kaskazini kujifungua watoto kwa Wingi kwani idadi ya watoto wanaozaliwa nchini Korea Kaskazini inapungua kwa kasi.
Kwenye moja ya maongezi aliyoyaongea #KimJongUn na wanawake katika hafla yao huko #Pyongyang Alisema....
"Kukomesha kupungua kwa idadi ya watoto wanaozaliwa na kutoa malezi bora ya watoto na elimu ni mambo yetu yote ya kifamilia ambayo tunapaswa kutatua pamoja na mama zetu"