Mke wa Rais wa zamani wa Marekani 'Rasalynn Carter ' afariki Dunia

-rickmedia: Saraphina Jerry

Saraphina Jerry

2 weeks ago
rickmedia: mke-rais-zamani-marekani-rasalynn-carter-afariki-dunia-539-rickmedia

Rasalynn Carter amefariki dunia nyumbani kwake na familia imethibitisha huku familia ikieleza kuwa amefariki katika makazi yao Geogia.

Ijumaa mwishoni mwa wiki taarifa ziliambaa kuzidiwa kwa mama huyo ambaye amekuwa akiugua tangu Februari mwaka huu, hivyo kuwekwa chini ya uangalizi nyumbani kwake.

Julai mwaka huu Rosalyn aliadhimisha miaka 77 ya ndoa yake na mumewe, Carter.

“Alikuwa mwakamke ambaye akinisaidia na kunitia moyo kila nilipohitaji kwa kipindi chaote cha uhai wake nilijua kwamba ainipenda na alikuwa akijali,” amesema Carter.