Soka Bet waungana na Real Madrid, sasa Bongo mpaka Madrid

-rickmedia: Rick

Rick

2 months ago
rickmedia: soka-bet-waungana-real-madrid-sasa-bongo-mpaka-madrid-218-rickmedia

Kampuni namba moja ya kubashiri nchini Tanzania Soka Bet Africa imetangaza kuingia makubaliano na klabu kubwa Ulimwenguni Real Madrid ambapo matangazo ya kampuni hiyo yatakuwa yanaonekana kwa dakika tano kwenye michezo yote ya nyumbani ya klabu hiyo.

Matangazo hayo yatakuwa yanatokea kwenye mabango yaliyopo Uwanjani hapo. Mkataba wa Soka Bet na Real Madrid ni wa miaka mitatu na wanatarajia kujitanua zaidi duniani

"Mabingwa siku zote wanaongea na mabingwa", hii ni kolabo kubwa zaidi kuwahi kutokea kwenye Betting hapa Tanzania na Afrika kwa ujumla.

Sambamba na iutambulisho wa mahusiano hayo ya kibishara lakini pia Soka Bet wamemtambulisha Rapa Rosa Ree