Diamond Platnumz Ampa Milioni 10 Mzee aliyefilisika kutoka kwenye Utajiri

-rickmedia: Rick

Rick

2 months ago
rickmedia: diamond-platnumz-ampa-milioni-mzee-aliyefilisika-kutoka-kwenye-utajiri-539-rickmedia

Mwanamuziki na Bosi wa Wasafi Media Diamond Platnumz amempa Milioni 10 Mzee Makosa kutoka Mkoani Iringa ambaye alivutiwa na hadithi ya maisha yake kuwa aliwahi kuwa tajiri lakini maisha yalibadilika mpaka kuyumba kimaisha.

Diamond amekutana na Mzee Makosa ofisini kwake Wasafi Media Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam na kumkabidhi kitita hicho cha pesa Ikiwa na lengo la kumuinua mzee huyo tena.