Mchekeshaji kutoka nchini Kenya Eric Omondi amekiri wazi kuwa wasanii wa Tanzania wanawekeza sana kwenye muziki wao kushinda Kenya.
Eric anadai kuwa wasanii wa Tanzania wanajua kujibrand kuanzia mavazi kawaida mpaka ukiangalia video zao tofauti na Kenya na anawashauri wasanii wa Kenya wajifunze kuvaa pia.
TAZAMA HAPA CHINI👇🏾