Mfanyabiashara na Mzazi Mwenza na Staa wa Muziki #Rayvanny, #Fahyvanny Ameandika jumbe hizi kwenye Instastory yake.. “Sasa niivi wewe unaniona mimi kama box lako umenijengea picha kwa watu mimi nionekana na kunga'nga'nia kumbe ukweli unaujuwa mwenye sasa nitaweka kila kitu hadharani alafu uone utamu wa matunda ambayo umeyapanda na kuyavuna mwenye” “You will not stop me this time wewe kijana i will deal with inavyotakiwa sikuogopi siku hofii kama wewe umeungana na adui zangu mimi ninani nisi ungane na adui zako i will teach you something”