Tundu Lissu Yatupilia Mbali Mapingamizi ya Lissu

-rickmedia: Lanka Ting

Lanka Ting

1 hour ago
rickmedia: tundu-lissu-yatupilia-mbali-mapingamizi-lissu-374-rickmedia

Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo Dar es Salaam, imetupilia mbali mapingamizi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, kuhusu uhalali wa Mahakama Kuu kusikiliza kesi yake ya uhaini. Mahakama imeeleza kuwa hoja zake, ikiwemo madai ya kasoro za mwenendo kuanzia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, hazina mashiko. Shauri hilo litaendelea kusikilizwa leo saa nane mchana, Septemba 15, 2025.