Aliyekuwa mtangazaji wa kipindi cha leo tena Mwijaku ametangazwa rasmi kama mtangazaji wa Crown Media ya Alikiba.
Bado haijatambulika atafanya kipindi gani kwenye Media hiyo kwani Media hiyo bado haijanza kurusha matangazo yake.
Ikumbukwe Mwijaku aliwahi kukanusha taarifa za yeye kuhamia Crown Media hapo mwanzoni lakini kwasasa atambulike kama mfanyakazi wa Crown Media.