Mtangazaji wa Crown Media, Mwijaku amewachana Mastaa Jackline Wolper na Rich Mitindo Kuwa Wanatafuta Kiki baada ya Wolper kuweka wazi kuwa Ameachana na Mume wake.
Mwijakua akizungumza kwenye mahojiano na Rick Media amesema kuwa watu ambao wanatangaza mitandaoni kuwa wameachana na wenza wao huwa wanapendana kwani hamna haja ya kuwatangazia watu kama mmeachana.
Kupitia ukurasa wa Instagram Wolper alifunguka baada ya watu baadhi akiwepo Mwijaku kusema kuwa kuachana na mume wake ni Kiki kuwa waache mara moja kwani atafuata sheria.