Bondia Tyson Fury atangaza kustaafu Ndondi akiwa na miaka 36

-rickmedia: Saraphina Jerry

Saraphina Jerry

12 hours ago
rickmedia: bondia-tyson-fury-atangaza-kustaafu-ndondi-akiwa-miaka-955-rickmedia

Bondia Tyson Fury (36) ametangaza kustaafu mchezo wa ngumi, akiwaacha mashabiki wa mchezo wa ndondi wa wakiwa na mshangao kwa kuwa wengi walitegemea pambano lake lijalo litakuwa dhidi ya #AnthonyJoshua,

Fury ametangaza uamuzi huo Wiki chache tangu alipopoteza pambano la uzito wa juu dhidi ya Oleksandr Usyk.

Mwaka 2022, Fury alisema amemaliza suala la kupigana baada ya kumpiga Dillian Whyte, lakini alirejea ulingoni na kupigana na Derek Chisora.