Sean Kingstone Aomba Apewe Kifungo Cha Nyumbani

-rickmedia: Lanka Ting

Lanka Ting

11 hours ago
rickmedia: sean-kingstone-aomba-apewe-kifungo-cha-nyumbani-513-rickmedia

Staa wa Muziki #SeanKingston anataka kutumikia kifungo chake cha shirikisho cha udanganyifu wa mtandaoni akiwa Nyumbani badala ya kwenda gerezani.

Nyaraka za mahakama zinaonyesha kuwa anaomba apewe kifungo cha miaka 2 hadi 2.5 badala ya miaka 5 hadi 6 kama miongozo inavyopendekeza na anajitetea kwa madai kuwa ana rekodi safi, amefanya huduma kwa jamii, na amelipa fidia kwa baadhi ya waathirika ambao tayari wameanza kupokea malipo hayo. Uamuzi mkubwa unatarajiwa leo Ijumaa, Agosti