VIDEO: LULU Alivyokutana Uso kwa Uso na Mama Kanumba

-rickmedia: Rick

Rick

1 year ago
rickmedia: video-lulu-alivyokutana-uso-kwa-uso-mama-kanumba-491-rickmedia

Ni takribani miaka mitano imepita toka Mama mazi wa muigizaji Marehemu Steven Kanumba kukutana uso kwa uso na Muigizaji Elizabeth Michael Lulu ambaye alikuwa mpenzi wa mtoto wake mpaka anafariki

Kwa mara ya kwanza toka kipindi hicho wawili hao wamekutanishwa Jijini Arusha na Muigizaji Irene Uwoya ambaye amewaalika kwenye uzinduzi wa Filamu yake mpya OLEMA.

Wawili hao wamekutana na kupeana mikono kwa furaha huku Lulu akikiri kuwa kwasasa amekuwa na imepita miaka mtano toka kuonana kwao. Lulu amekazia zaidi kwa kusema kuwa hana tatizo na mama Kanumba