gazeti la mwanahalisi lasitishiwa leseni kwa miezi 6

-rickmedia: Saraphina Jerry

Saraphina Jerry

1 day ago
rickmedia: gazeti-mwanahalisi-lasitishiwa-leseni-kwa-miezi-512-rickmedia

Idara ya Huduma za Habari (MAELEZO) imesitisha leseni ya gazeti la MwanaHALISI kwa kipindi cha miezi sita kutokana na kukiuka sharti na kanuni za leseni ya machapisho.

Idara hiyo imesema hatua hiyo ni kutokana na gazeti hilo kuwa na mwenendo wa kurudia makosa yaliyokwisha kuonywa. Aidha, imeeleza kuwa uamuzi huo unahusu pia uzalishaji na usafirishaji wa gazeti hilo kwa njia ya mtandao.