Idadi ya waliofariki kwenye maporomoko Uganda yafikia 15, 100 hawajulikani walipo mpaka sasa

-rickmedia: Saraphina Jerry

Saraphina Jerry

4 days ago
rickmedia: idadi-waliofariki-kwenye-maporomoko-uganda-yafikia-15-100-hawajulikani-walipo-mpaka-sasa-723-rickmedia

Watu 15 wamepoteza Maisha huku wengine 100 hawajulikani walipo kutokana na Mvua kubwa iliyosababisha mafuriko na Maporomoko ya udongo Novemba 28, 2024.

Mvua hiyo imesababisha uharibifu wa Makazi na Miundombinu kama Madaraja na Barabara katika Vijiji kadhaa Mashariki mwa Uganda, wilayani Bulambuli