Manchester United Wamtimu kocha Erik Ten Hag baada ya kukandwa na West Ham

-rickmedia: Rick

Rick

5 days ago
rickmedia: manchester-united-wamtimu-kocha-erik-ten-hag-baada-kukandwa-west-ham-156-rickmedia

Mwandishi wa habari za Michezo duniani Fabrizio ametoa taarifa kuwa klabu ya ManchesterUnited imemtimua kazi kocha wake Erik Ten Hag baada ya kufungwa na West Ham 2-1 usiku wa jana

Kocha huyo alijiunga na Manchester United mwaka 2022 na kufanikiwa kushinda mataji mawili ambayo ni Carabao Cup na kombe la FA