Mkuu wa Idara ya Fedha ya Hamas, Muhammad Abu Alwan, ameuawa katika operesheni ya Israel.
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu amesema shambulio hilo lililenga mtandao wa kifedha wa Hamas na wameahidi kuendelea na operesheni dhidi ya kundi hilo.