Uhumi wa Ufaransa Upo kwenye Hatari kubwa kisa Deni

-rickmedia: Lanka Ting

Lanka Ting

9 hours ago
rickmedia: uhumi-ufaransa-upo-kwenye-hatari-kubwa-kisa-deni-873-rickmedia

Uchumi wa Ufaransa upo kwenye hatari kubwa ya mlipuko wa deni la £2.58 trilioni, jambo linaloweza kumlazimisha Rais Emmanuel Macron kupata msaada wa kimataifa kutoka IMF. 

Hali hii inakuja huku serikali ya Ufaransa ikikabiliwa na mgogoro wa kisiasa baada ya Waziri Mkuu Francois Bayrou, 74, kutangaza azma yake ya kufanya kura ya kutokuwa na imani bungeni.

Taarifa hii ilisababisha hisa kushuka, kibenki kupoteza thamani, na kuongeza matishio ya mfumuko wa riba na msukumo wa kisiasa.