Kylian Mbap'e asema hana presha ya kuwa mrithi wa Cristian Ronaldo anataka kuwa yeye tu

-rickmedia: Saraphina Jerry

Saraphina Jerry

4 months ago
rickmedia: kylian-mbape-asema-hana-presha-kuwa-mrithi-cristian-ronaldo-anataka-kuwa-yeye-485-rickmedia

Mshambuliaji wa Real Madrid, Kylian Mbappe, ameweka wazi hisia zake kuhusu presha ya kufananishwa na icon wake, Cristiano Ronaldo. Mbappe alisema, "Kuhusu kumrithi Cristiano Ronaldo? Ndio, yeye ni mfano wangu wa kuigwa, lakini sitaki presha ya kumrithi. Ninataka kuwa Kylian."

Mbappe aliongeza kuwa lengo lake kuu ni kuingia kwenye mfumo wa timu na kutwaa mataji, badala ya kujikita kwenye idadi ya magoli anayopaswa kufunga. Hadi sasa akiwa na Madrid, Mbappe amefunga magoli mawili, lakini anahitaji kufunga magoli 449 zaidi ili kumzidi Cristiano Ronaldo na kuwa mfungaji bora wa muda wote wa Real Madrid.