TANZIA: PETER MANYIKA Afariki Dunia leo January 26,2026

-rickmedia: Rick

Rick

2 hours ago
rickmedia: tanzia-peter-manyika-afariki-dunia-leo-january-262026-975-rickmedia

Golikipa wa zamani wa Klabu ya Yanga na Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Peter Manyika amefariki dunia leo January 26,2026 akiwa anapatiwa matibabu kwenye Hospitali ya St Monica Jijini Dar es Salaam.

Taarifa hizo zimethibitishwa na mtoto wake Peter Manyika Jr ambapo amesema kuwa msiba upo nyumbani kwake Mbezi Jijini Dar es Salaam.

Enzi za uhai wake Peter Manyika aliwahi kuwa kocha wa Magolikipa wa Yanga, Ihefu, Fountain Gate.