Mwanasoka #AzizKi na Mkewe ambaye ni Mwanamitindo na Mfanyabiashara #HamisaMobetto wameshinda tuzo za East Africa Arts Entertainment Awards #EAEA zilizotolewa Nchini Kenya.
#Hamisa ndiye aliyezipokea tuzo hizo zote mbili walipoletewa Nchini kutoka Kenya, amepokea yake aliyoshinda kupitia kipendele cha (BEST FASHION-ICON CELEBRITY AFRICA) na kupokea kwa niaba ya mumewe #AzizKi aliyeshinda kupitia kipengele cha (BEST SPORTS PERSONALITY ) . Hongera kwa wanandoa hao.