Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud anusurika kuuwawa Machi 18, 2025

-rickmedia: Saraphina Jerry

Saraphina Jerry

2 weeks ago
rickmedia: rais-somalia-hassan-sheikh-mohamud-anusurika-kuuwawa-machi-18-2025-698-rickmedia

 Rais Hassan Sheikh Mohamud amenusurika kuuwawa Machi 18, 2025 baada ya msafara wake kushambuliwa na wanamgambo wa Al-Shabaab.

Kwa mujibu wa Taarifa ya ‘Reuters’, msafara wa Rais Mohamud ulikuwa unaelekea uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mogadishu kabla ya kushambuliwa.Imeelezwa, watu Wanne wamepoteza maisha huku wengine wakijeruhiwa katika shambulio hilo.