New Music: Ayra Starr Feat Wizkid- Gimmie Dat

-rickmedia: Rick

Rick

21 hours ago
rickmedia: new-music-ayra-starr-feat-wizkid-gimmie-dat-415-rickmedia

The waiting is over, Ayra Starr kwenye ngoma moja na Wizkid. Wimbo unaitwa "Gimmie Dat", Hii ni moja kati ya kolabo ambayo ilikuwa inasubiriwa kwa hamu na wapenzi wa muziki duniani. Je hii itapenya kama Essence ambayo Wizkid alimshirikisha Tems?