Ujumbe wa Staa wa Muziki #DiamondPlatnunz Baada ya Jina #Babalevo kutajwa kwenye 6 Bora ya Wenye Nafasi ya Kuwania Ubunge wa
Kigoma Mjini.
"Mungu ni Mwema, Kigoma Tuendelee kumuombea navkumuunga Mkono Ndugu yetu Baba Levo Apite na kuwa Mgombea Rasmi wa Ubunge Kigoma Mjini kupitis CCM na InshaAlla baadae kuwa Mbunge kabisa, Amini ya Kwamba licha ya watu wanaomsupport hapo kigoma lakini pia Baba Levo Anasupport ya watu wengi ambao hatuishi kigoma lakini ni wanakigoma ambao tunania ya kussuport Kigoma yetu ili izidi kupata Maendeleo, na @officialbabalevo tunamuamini na kupitia yeye tuko tayari kumsapoti kwa hali na mali kuhakikisha kigoma yetu inapata hayo Maendeleo....Hapo ni Nyumbani kwetu na sisi furaha yetu ni Maendeleo, na Amini kwamba Baba levo tutashirikiana nae kwa kila hali kuhakikisha Maendeleo Nyumbani kwetu tunayapata."