Mpina Atupwa Njee Wagombea Ubunge Kisesa

-rickmedia: Lanka Ting

Lanka Ting

1 day ago
rickmedia: mpina-atupwa-njee-wagombea-ubunge-kisesa-469-rickmedia

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, kimetangaza majina saba ya wanaowania kupitishwa kugombea Ubunge wa Jimbo la Kisesa,

Tanzania Bara. Taarifa hiyo imetolewa leo, Julai 28, 2025, jijini Dodoma.

Katika uteuzi huo, jina la Mbunge aliyemaliza muda wake, Luhaga Mpina, halimo kwenye orodha ya waliopitishwa, jambo linaloashiria kuwa hakupata ridhaa ya Kamati Kuu ya CCM kuendelea na mbio za ubunge kupitia chama hicho

kwa jimbo hilo.