Mahakama yafuta kesi ya madai iliyofunguliwa na Chris Brown

-rickmedia: Saraphina Jerry

Saraphina Jerry

19 hours ago
rickmedia: mahakama-yafuta-kesi-madai-iliyofunguliwa-chris-brown-18-rickmedia

Mahakama imetupilia mbali kesi ya madai ya kashfa ya dola milioni 500 iliyofunguliwa na Chris Brown dhidi ya Warner Bros.

Chris Brown aliifungua Los Angeles Superior Court mwaka 2025 akidai kuwa documentary ya “Chris Brown: A History of Violence”, iliyoandaliwa na Warner Bros. Discovery, Ample Entertainment, na Investigation Discovery, ilimshtumu vibaya kwa kumsema yeye kama “Chris Brown aliifungua katika Los Angeles Superior Court mwaka 2025 akidai kuwa warsha ya documentary “Chris Brown: A History of Violence”, iliyoandaliwa na Warner Bros. Discovery, Ample Entertainment, na Investigation Discovery, ilimhusu vibaya kwa kumshutumu yeye kama “Mbakaji wa mara kwa mara na mnyanyasaji wa kingono.” bila ushahidi sahihi na kuharibu Sifa yake.

jaji alisema Investigation Discovery ilifuata viwango vya uandishi wa habari.