Marcus Akamatwa kwa Tuhuma za Udanganifu

-rickmedia: Lanka Ting

Lanka Ting

2 days ago
rickmedia: marcus-akamatwa-kwa-tuhuma-udanganifu-179-rickmedia

Kwa mujibu wa ripoti, #MarcusMorrisSr. alikamatwa Jumapili katika Kaunti ya Broward, Florida kwa tuhuma za udanganyifu.

Nyota huyo wa #NB alikamatwa kwa kosa la kuandika hundi ambayo haikuwa na fedha za kutosha iliyotokana na tiketi (warrant) iliyotolewa na mahakama katika jimbo jingine, kama ilivyoonyesha kwenye kumbukumbu za booking online .

Alikamatwa katika uwanja wa ndege na amesalia gerezani bila dhamana, Kwa mujibu wa Awful Announcing, Mawakili wake walisema yote yetokea baada ya mkopo mdogo uliokuwa haujalipwa kwenye kasino, ambapo ukiwa na deni zaidi ya $1,200 wanatuma tiketi ya kukamatwa jambo ambalo linachukuliwa sawa na udanganyifu wa hundi katika jimbo la Nevada.