Kwenye Mahojiano Na Deadline, Mpwa Wa MJ, Jafaar Jackson, Amesema Kwamba "Filamu ya pili ya Michael itaangazia madai ya unyanyasaji wa watoto yaliyowahi kutolewa dhidi ya Michael Jackson, lakini itayaeleza kutoka kwenye mtazamo wa Michael Jackson mwenyewe. Kwasababu madai hayo yamekuwa yakisimuliwa na upande wa watu wengine".
Sehemu Ya Pili Ya Filamu Hii Inatarajiwa Kuachiwa Mwishoni Mwa Mwaka 2027.