Mvua kunyesha wakati wa show yake mara zote kwamshangaza Abby Chams

-rickmedia: Saraphina Jerry

Saraphina Jerry

15 hours ago
rickmedia: mvua-kunyesha-wakati-show-yake-mara-zote-kwamshangaza-abby-chams-458-rickmedia

Msanii wa muziki wa BongoFleva Abigail Chams ameonesha kushangazwa na tabia ama utaratibu ambao umekuwa ukimtokea mara kadhaa wa mvua kunyesha kila anapokuwa akutumbuiza stejini na anajiuliza hali hii inasababishwa na nini au ni baraka za Mwenyezi Mungu.

Katika Insta story yake Abby Chams ameweka wazi hali hiyo huku akiwauliza wadau na mashabiki nini maana ya ishara hiyo? ni baraka za Mungu au kuna kingine zaidi?


Je kwa kujibu swali la mrembo Abby Chams, hizo ni baraka au ni nini??