Baada ya Chino na Marioo kumaliza tofauti zilizojitokeza kati yao siku z nyuma kidogo na kuwa sawa kwasasa wazazi wa Chinowameweka wazi namna wanavyotamani kukutana na Marioo na kulizungumza suala hili kwa ngazi ya familia kwani wanaamini kuwa kuna umuhimu mkubwa wa kulifanya hilo.
Baba na Mama Chino wameelezea vizuri kabisa kuwa Marioo ni kijana wao kwasababu wameishi naye kwa muda mrefu hivyo ni sehemu ya familia yao na wanampenda sana kwahiyo hata kama wao kama watoto wamemaliza tofauti zao ila bado wao wazazi kwa nafasi yao wanahitaji kukaa nao kikao.
TAZAMA HAPA CHINI 👇🏾