Mwana FA atua Afrika Kusini kuiunga Mkono Simba dhidi ya Stellenbosch Fc

-rickmedia: Rick

Rick

21 hours ago
rickmedia: mwana-atua-afrika-kusini-kuiunga-mkono-simba-dhidi-stellenbosch-254-rickmedia

Naibu Waziri wa Sanaa Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Hamisi Mwinjuma maarufu kama Mwana FA tayari ameshatua nchini Afrika Kusini tayari kuiunga Mkono klabu ya Simba ambayo siku ya kesho Kutwa April 27,2025 inatarajia kucheza mchezo wa mzunguko wa pili wa Nusu Fainali ya kombe la shirikisho barani Afrika dhidi ya StellenBosch.

Mwana FA ameongozana na viongozi mbalimbali akiwemo Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki Mheshimiwa Hamis Taletale