Baada ya kuachiwa huru mapema Jumatatu, kufuatia uamuzi wa DPP kufuta mashtaka yake, mfanyabiashara na mwanamitandao maarufu Jenifer Jovin (26) “Niffer” amerejea kwa nguvu mpya na ujumbe mzito uliowagusa maelfu ya wafuasi wake.
Katika video aliyoipakia akiwa ndani ya msikiti, Niffer alionekana akitoa shukrani kwa Mola na kwa wale wote waliomuombea kipindi chote cha mgogoro wake wa kisheria. Aliandika: