ANGALIA LIVE: RAIS SAMIA Akimuapisha WAZIRI MKUU- MWIGULU NCHEMBA IKULU DODOMA

-rickmedia: Rick

Rick

3 days ago
rickmedia: angalia-live-rais-samia-akimuapisha-waziri-mkuu-mwigulu-nchemba-ikulu-dodoma-170-rickmedia

Tazama hapa Live Rais Dkt Samia Suluhu Hassan anamuapisha Waziri Mkuu Mteule DKT MWIGULU NCHEMBA kuwa Waziri Mkuu rasmi.