Rais Ahukumiwa Kifungo cha Miaka 5 Jela kwa kosa la Utakatishaji Fedha

-rickmedia: Lanka Ting

Lanka Ting

2 months ago
rickmedia: rais-ahukumiwa-kifungo-cha-miaka-jela-kwa-kosa-utakatishaji-fedha-389-rickmedia

Mohmed Ould Abdel Azizi, Rais wazamani wa Mauritania amehukumiwa kifungo cha miaka mitano jela kwa kosa la utakatishaji Fedha kipindi cha Uongozi wake,Ambapo aliongoza Mauritania kupitia uongo mmoja baada ya kuingia madarakani kupitia Mapinduzi ya mwaka 2008 alikuwa Mshirika wa Madola ya Magharibi na alishatakiwa Mwezi January lakini alikanusha Madai ya Ufisadi huo.

Mahakama iliendelea kufutilia na badae kumkutu Abdel Azizi na hatia ya Mashitka mawili kati ya 10, na hayo ni Ubadhilifu wa Mali za Umma na Udisadi, ambapo Mmoja ya Mawakili wake alitoa Uamuzi huo hukumu ya Kisiasa inayolenga Mtu na Familia yake Waendesha Mashitka hukumu ya Mkuu huyo wa Mauritania wazamani ambayo ni nchi ya historia.

Kwahiyo Mahakama hiyo iliwaachilia huru baadhi ya Washirika wa Abdel Azizi ambao Walishtakiwa nao ni Mawaziri Wawili wazamani wa nchi hiyo na Rais huyo kuhukumiwa miaka hiyo.Imeandaliwa na Dida Ramadhan