EXCLUSIVE: ALLY KAMWE Ajibu mazito ANDAMWILE kuipeleka YANGA TFF

-rickmedia: Rick

Rick

8 hours ago
rickmedia: exclusive-ally-kamwe-ajibu-mazito-andamwile-kuipeleka-yanga-tff-666-rickmedia

Afisa habari wa klabu ya Yanga ALLY KAMWE ameibuka kwa mara ya kwanza kufunguka kuhusu sakata la mchezo wao AZIZI ANDAMBWILE kudaiwa kuishtaki Yanga TFF baada ya kutolipwa pesa zake za usajiri.

Lakini pia Ally Kamwe amefunguka kuhusu changa la macho walilopigwa Simba na mdhabuni wao mpya Jayrutty juu ya kuleta Gari jipya aina ya Irizar 

Mtazame hapa chini Ally Kamwe akifunguka zaidi